DAREVA-Timu nzuri hutokana na mazoezi ya muda
Chama cha Mpira wa Wavu Dar es salaam DAREVA kimesema wameamua michuano ya Klabu Bingwa Mkoa wa Dar es salaam ichezwe kila mwishoni mwa wiki ili kuweza kutoa nafasi kwa vilabu mbalimbali shiriki vya ligi hiyo kuweza kupata nafasi ya kufanya mazoezi.