Mafuriko yaua zaidi ya 30 nchini Sudan Wizara ya Kilimo na Umwagiliaji ya Sudan hapo awali iliyata jana majimbo sita yaliyokuwa katika hatari kubwa ya mafuriko ya Nile mwaka huu, ikiwa ni pamoja na Jimbo la Gezira na Khartoum. Read more about Mafuriko yaua zaidi ya 30 nchini Sudan