Tunafuatilia kutekwa kwa Polepole-Polisi

Taarifa iliyotolewa na Msemaji Mkuu wa Jeshi la Polisi inafuatia taarifa zinazosambazwa kwenye mitandao ya kijamii na ndugu wa Humphrey Polepole zikidai kuwa ametekwa na kwamba tayari limeanza kuzifanyia kazi taarifa hizo ili kupata ukweli.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS