Israel yamuua Waziri Mkuu wa Yemen

Waziri Mkuu wa serikali ya Yemen inayoongozwa na Wahouthi na mawaziri wengine kadhaa wameuawa katika shambulio la Israel kwenye mji mkuu Sanaa, mkuu wa Baraza Kuu la Kisiasa la Houthi amesema Jumamosi, likiwa ni shambulio la kwanza la aina hiyo kuua maafisa wakuu.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS