Tetemeko la ardhi laua mamia nchini Afghanistan "Idadi ya vifo na majeruhi ni kubwa, lakini kwa kuwa eneo hilo ni gumu kufikiwa, timu zetu bado ziko eneo la tukio," msemaji wa wizara ya afya Sharafat Zaman amesema katika taarifa. Read more about Tetemeko la ardhi laua mamia nchini Afghanistan