7 wauawa katika shambulio Israel ikimlenga Obeida Obeida alikuwa miongoni mwa wanachama wachache waandamizi waliosalia wa tawi la kijeshi la Hamas kabla ya shambulio lake baya la tarehe 7 Oktoba 2023 kusini mwa Israel. Read more about 7 wauawa katika shambulio Israel ikimlenga Obeida