Mashabiki wa Yanga tawi la YWGA Ilala wakikabidhi mchango wao katika ofisi za East Africa TV na East Africa Radio.

Wamechangia taulo za kike pakiti 72 katika kampeni ya Namthamini