Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Nchimbi afunguka tuhuma za kuhalalisha uchangudoa

Thursday , 14th Mar , 2019

Mkuu wa mkoa wa Singida, Bi. Rehema Nchimbi, amekanusha taarifa za kuitaka serikali kuhalalisha biashara ya ngono, ili kuongeza mapato katika mkoa wake na taifa kwa ujumla.

Akizungumza na www.eatv.tv. Rehema Nchimbi amekana kuhusika na taarifa hiyo akisema kuwa yeye ni mtumishi wa Mungu, hivyo hilo ni suala ambalo hawezi kulifanya kamwe.

Akiendelea kuzungumzia hilo Bi. Rehema amesema kwamba mkoa wa Singida uko mstari wa mbele kupinga biashara hiyo huku wakiwa na lengo kwa kuikomesha kabisa, baada ya kuwakamata wanawake wanaofanya biashara ya ngono ambao wanatarajiwa kufikishwa kizimbani hii leo.

Asimulia 

“Nitetee ufuska?, mimi mtumishi wa Mungu, Mshauri wa Askofu kanisa la Anglikana Tanzania, aliyesema hizo taarifa ni mpumbavu, kuna operesheni kubwa katika mkoa wa Singida ya kuwakamata, nafikiri leo au kesho watafikishwa mahakamani, tutawakamata sawa sawa, na yeyote atakayejihusisha nao hao machangudoa tutamkamata, Singida sio ya machangudoa”, amesema.

Hapo jana kumekuwa na taarifa zilizosambaa mitandaoni zinazosema kwamba Mwenyekiti wa Halmashauri ya Iramba mkoani Singida, Ndg. Simon Tyosela ameishauri serikali kuhalalisha biashara ya akina dada wanaoujiuza, maarufu machangudoa, jambo ambalo liliungwa mkono na mkuu huyo wa mkoa.

HABARI ZAIDI

Mkuu wa mkoa wa Katavi Mwanamvua Mrindoko,

Wadau wa afya simamieni ukusanyaji mapato

Picha za Kuonesha Muelekeo wa Kimbunga IALY

Kimbunga IALY charipotiwa bahari ya Hindi

Mabaki ya Nyumba yenye vyumba 12 iliyoteketea na Moto

Moto wateketeza nyumba yenye vyumba 12

Baadhi ya Majirani wa Kijana Amani Abed ambaye Amejinyonga baada ya kutoka Hospitali.

Kijana ajinyonga baada ya kutoka hospitali

Antony Blinken, Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani

Marekani yatangaza kulifadhili jeshi la Ukraine

Kaimu Mkurugenzi wa ufuatiliaji na uzingatiaji sheria NEMC,

Wamiliki wa Hospitali nchini wapewa siku 90

Baadhi ya Wakazi wa Kata ya Madanga Mkoani Tanga

Wagoma kubeba mimba kwa kukosa huduma za afya