Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Kubenea aikana barua ya kujiuzulu

Friday , 14th Sep , 2018

Mbunge wa jimbo la Ubungo kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA  Saed Kubenea amesema hajaandika barua yeyote ya kutaka kujiuzulu kwenye nafasi yake ya Makamu Mwenyekiti wa Kanda ya Pwani kama ilivyokua ikisambaa hivi karibuni kupitia mitandao ya kijamii.

Mbunge wa Ubungo (CHADEMA),  Saed Kubenea.

Akizungumza na www.eatv.tv akiwa njiani kuelekea kwenye ufungaji wa kampeni za ubunge wa Jimbo la Monduli Kubenea amesema hajaandika barua yeyote  badala yake anaiona kupitia mitandao ya kijamii na kuongeza pia hajapokea barua yeyote kutoka kwa viongozi wa Chama chake ikimtaka kujieleza kwanini asichukuliwe hatua za kinidhamu

Mimi sijui kuhusu hiyo barua na wala sijaiona .., kuhusu kuandikiwa barua na katibu mkuu mimi sijaiona na kama ipo haijanifikia", amesema Kubenea

Kupitia  mkutano wa na waandishi wa habari Katibu mkuu wa Chama cha  Demokrasia na maendeleo (CHADEMA)  Dk. Vincent Mashinji alikiri kuona barua ya mbunge huyo kupitia mitandao ya kijamii, huku akiweka wazi kwamba pindi itakapomfikia ataifanyia kazi.

Hivi karibuni Mgombea Jimbo la Ukonga Mwita Waitara alisema watarajie jambo lolote juu  ya hatma ya Mbunge huyo wa Ubungo Saed Kubenea ndani ya CHADEMA.

Msikilize hapo chini Kubenea amefunguka zaidi.

HABARI ZAIDI

Baadhi ya Majirani wa Kijana Amani Abed ambaye Amejinyonga baada ya kutoka Hospitali.

Kijana ajinyonga baada ya kutoka hospitali

Antony Blinken, Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani

Marekani yatangaza kulifadhili jeshi la Ukraine

Kaimu Mkurugenzi wa ufuatiliaji na uzingatiaji sheria NEMC,

Wamiliki wa Hospitali nchini wapewa siku 90

Baadhi ya Wakazi wa Kata ya Madanga Mkoani Tanga

Wagoma kubeba mimba kwa kukosa huduma za afya

Mkuu wa mkoa wa Songwe Daniel Chongolo

Wanafunzi 194 washika mimba ndani ya mwezi mmoja

Mabaki ya gari aina ya Noah iliyopata ajali Morogoro

Ajali yachukua uhai wa watu saba Morogoro

Waziri wa Fedha Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba

Wawekezaji wawekeze sekta za uzalishaji - Nchemba

Muonekano wa Kiburugwa ambako Nyumba zaidi ya Tisa Zimebomolewa na Maporomoko ya Tope

Maporomoko ya udongo yasomba nyumba 9 Mbagala