Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Sababu za Mtatiro kutimkia CCM

Saturday , 11th Aug , 2018

Aliyekuwa naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi, (CUF) Julius Mtatiro ametangaza kuachana na chama hicho ambapo amesema kuwa amefanya hivyo ili kufanya siasa za maendeleo ili kumsaidia Rais Magufuli.

Aliyekuwa naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi, (CUF) Julius Mtatiro.

Mtatiro ametangaza kujiunga na Chama cha Mapinduzi (CCM) leo Agosti 11, 2018 wakati akizungumza na vyombo vya habari ambapo amesema kuwa ameanza kwa kuzungumza na waandishi na kutangaza azma yake ambayo ameitafakari kwa muda mrefu kabla ya kuwataarifu viongozi wa CCM ambao amewaomba wampokee.

Nawaambia Watanzania kwamba kuanzia leo nitaanza kufanya siasa za maendeleo ili kumsaidia Rais John Pombe Magufuli ", amesema Mtatiro.

Mtatiro ameongeza kuwa , "Nimejiridhisha kwa hitaji la nafsi yangu kwamba nijiunge na Chama cha Mapinduzi CCM, nawajulisha watanzania rasmi kuwa nimeanza mipango ya kutekeleza hili mara moja".

Mtatiro amesema kuwa masuala ya misimamo yake ya sera na ilani za CUF na misimamo ya CUF hayo yanabakia CUF, hivi sasa yeye ni  Mtatiro ambaye anajiandaa kujiunga na Chama cha mapinduzi CCM  kama mwananchi na anatumia haki yake kikatiba.

Wimbi la viongozi na wanachama wa upinzani kutimkia CCM, lilianza kushamiri mwaka jana ambapo mpaka sasa jumla ya wanachama milioni mbili wameshajiunga na chama cha mapinduzi kuanzia Januari mwaka 2017 hadi sasa kwa mujibu wa Katibu wa Itikadi na Uenezi wa chama hicho, Humphrey Polepole.

HABARI ZAIDI

Bashiri Mohamed (35) Mwenye Koti Jeusi akiwa anafikishwa Mahakamani Ilemela, Jijini Mwanza

Aliyezini na binti yake apandishwa kizimbani

Wilman Kapenjama Ndile, Mkuu wa Wilaya ya Songea

DC Kapenjama ataka uaminifu kwa wakulima Songea

Kassim Majaliwa, Waziri Mkuu wa Tanzania

Wanahabari wasisitizwa kuzingatia maadili ya kazi

Wilman Kapenjama Ndile, Mkuu wa Wilaya ya Songea

DC atangaza msako kuwaondoa walinzi wazee kazini

Rose Senyagwa, Mchambuzi wa Masuala ya Hali ya Hewa kutoka TMA

Kimbunga "IALY" kinazidi kusogea Pwani ya bahari