
Viroba
Akijibu swali la mbunge wa Kigamboni, Dkt. Fautine Ndugulile, Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji Charles Mwijage, amesema serikali ilishapiga marufuku biashara hiyo, na sasa kwa mkakati huo utasaidia kuokoa kizazi cha vijana wanaoangamia na kushindwa kufanya kazi kutokana na unywaji wa pombe hizo.
Mwijage amesema, pombe hizo zitakapohamishiwa kwenye chupa, gharama yake itakuwa kubwa kiasi cha kuwashinda wanafunzi kununua
Tazama Video..........................................