Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Serikali yatoa tamko kwa vyuo feki

Monday , 20th Nov , 2017

Serikali imesema itaendesha msako na kuvifunga vyuo vyote vya afya visivyokidhi vigezo na msharti ya uwepo wake.

Hayo yamesemwa jijini Dar es Salaam na Naibu Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk. Faustine Ndugulile, alipozungumza kwenye mahafali ya Chuo cha Tiba na Afya cha KAM.

Amesema ingawa ni kweli kuna uhaba mkubwa wa watumishi wa sekta ya afya, lakini serikali haiwezi kuvumilia vyuo ambavyo vinajiendesha bila kufuata miongozo ya serikali.

“Ni kweli tuna uhaba wa watumishi zaidi ya 95,000 wa sekta ya afya lakini hakiwezi kuwa kigezo cha watu kujiendesha kwa ubabaishaji ubabaishaji, lazima miongozo ifuatwe,” Mh. Ndugulile.

Aidha, waziri huyo alisema serikali inatambua na kuthamini mchango mkubwa unaotolewa na vyuo binafsi hivyo itaendelea kushirikiana navyo kutatua changamoto mbalimbali ili viweze kustawi na kutoa wahitimu wengi zaidi watakaosaidia taifa.

HABARI ZAIDI

Bashiri Mohamed (35) Mwenye Koti Jeusi akiwa anafikishwa Mahakamani Ilemela, Jijini Mwanza

Aliyezini na binti yake apandishwa kizimbani

Wilman Kapenjama Ndile, Mkuu wa Wilaya ya Songea

DC Kapenjama ataka uaminifu kwa wakulima Songea

Kassim Majaliwa, Waziri Mkuu wa Tanzania

Wanahabari wasisitizwa kuzingatia maadili ya kazi

Wilman Kapenjama Ndile, Mkuu wa Wilaya ya Songea

DC atangaza msako kuwaondoa walinzi wazee kazini

Rose Senyagwa, Mchambuzi wa Masuala ya Hali ya Hewa kutoka TMA

Kimbunga "IALY" kinazidi kusogea Pwani ya bahari