Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

"Dogo Janja ni miongoni mwa wanafiki" - Edu Boy

Friday , 20th Apr , 2018

Msanii wa Hip Hop anayewakilisha Jiji la Mwanza, Edu Boy amefunguka na kumchana Dogo Janja kuwa katika wasanii aliosema ni wanafiki naye ni miongoni mwao kwa sababu ameshindwa kuweka wazi jambo watu aliokuwa amekaa nao na kuzungumza sakata la Nandy la kusambaa video za utupu mtandaoni.

Edu Boy ametoa kauli hiyo wakati alipokuwa anazungumza kwenye kipindi cha eNewz kinachorushwa na tinga namba moja kwa vijana EATV baada ya kupita siku kadhaa tokea Dogo Janja ku-post katika ukurasa wake wa kijamii kuwa anasikitishwa na tabia ya baadhi ya wasanii kupenda kuwaona wenzao wanapatwa na majanga ili waporomoke kisanaa.

"Mtu kama Dogo Janja sio kama alikuwa hajui, alikuwa anafahamu vizuri sana sema ule ujasiri wa yeye kuamua na kusema ni kweli wasanii wengi tunaishi kinafiki ndio alikuwa hana. Ila vilevile katika watu wanaoishi kinafiki naye yumo ndani yao kwasababu aliongelea suala la Nandy halafu akashindwa kuwaweka wazi hao watu alikuwa amekaa nao kuzungumzia jambo hilo", amesema Edu Boy.

Mtazame hapa chini Edu Boy akifunguka mengine zaidi..

 

HABARI ZAIDI

Kaimu Mkurugenzi wa ufuatiliaji na uzingatiaji sheria NEMC,

Wamiliki wa Hospitali nchini wapewa siku 90

Baadhi ya Wakazi wa Kata ya Madanga Mkoani Tanga

Wagoma kubeba mimba kwa kukosa huduma za afya

Mkuu wa mkoa wa Songwe Daniel Chongolo

Wanafunzi 194 washika mimba ndani ya mwezi mmoja

Mabaki ya gari aina ya Noah iliyopata ajali Morogoro

Ajali yachukua uhai wa watu saba Morogoro

Waziri wa Fedha Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba

Wawekezaji wawekeze sekta za uzalishaji - Nchemba

Muonekano wa Kiburugwa ambako Nyumba zaidi ya Tisa Zimebomolewa na Maporomoko ya Tope

Maporomoko ya udongo yasomba nyumba 9 Mbagala

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko

Serikali yaipongeza Red Cross