Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Kilio chetu kimesikika- JB

Saturday , 19th Aug , 2017

Muigizaji mkongwe nchini Jacob Stephen 'JB amefunguka na kudai wamepata mkombozi katika usambazaji wa kazi zao za filamu huku akiwataka mashabiki zake kukaa mkao wa kula wa kupokea kazi mpya kutoka kwake baada ya kukaa kimya kipindi kirefu.

Muigizaji mkongwe nchini Jacob Stephen 'JB.

JB amebainisha hayo wakati akizungumza na mashabiki zake kupitia ukurasa wake wa 'Instagram Live' na kusema baada ya kupitia changamoto nyingi katika suala zima la usambazaji, sasa hivi wamepata kampuni mpya ambayo itakuwa inauza kazi za wasanii kwa kutumia simu za mikononi.

"Ukiachilia mbali matatizo ya ubora wa picha, hadhithi na uigizaji wa filamu zetu za kibongo, tatizo lingine kubwa linalotukabili tasnia ya filamu ni usambazaji ambapo kwa kipindi kirefu watayarishaji wa filamu wamekuwa wakikumbana nalo lakini sasa tumepata suluhisho ya tatizo hilo", alisema JB.

Pamoja na hayo, JB aliendelea kwa kusema "tumepata Kampuni mpya ya usambazaji ambapo sasa hivi mashabiki zetu sasa wataweza kununua filamu zote ziwe za zamani au mpya kwa kutumia simu zao za mkononi kama wanavyofanya wakitaka kununua umeme Tanesco, kwa kuweka namba husika ya filamu anayohitaji na baada ya hapo atapelekewa hicho alichonunua mpaka nyumbani kwake kwa kutokana namna aliyojaza katika maelezo yake aliyoyafanya kabla ya kununua".

Kwa upande mwingine, JB amesema hapo awali walikuwa wakikumbana na changamoto nyingi katika usambazaji wa kazi zao kwa kuwa alikuwa ni mmoja mkubwa, ambaye ikafikia hatua hawezi kupokea filamu zilizo gharimu kiasi kikubwa kwa kuogopa hasara.

 

HABARI ZAIDI

Baadhi ya Majirani wa Kijana Amani Abed ambaye Amejinyonga baada ya kutoka Hospitali.

Kijana ajinyonga baada ya kutoka hospitali

Antony Blinken, Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani

Marekani yatangaza kulifadhili jeshi la Ukraine

Kaimu Mkurugenzi wa ufuatiliaji na uzingatiaji sheria NEMC,

Wamiliki wa Hospitali nchini wapewa siku 90

Baadhi ya Wakazi wa Kata ya Madanga Mkoani Tanga

Wagoma kubeba mimba kwa kukosa huduma za afya

Mkuu wa mkoa wa Songwe Daniel Chongolo

Wanafunzi 194 washika mimba ndani ya mwezi mmoja

Mabaki ya gari aina ya Noah iliyopata ajali Morogoro

Ajali yachukua uhai wa watu saba Morogoro

Waziri wa Fedha Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba

Wawekezaji wawekeze sekta za uzalishaji - Nchemba

Muonekano wa Kiburugwa ambako Nyumba zaidi ya Tisa Zimebomolewa na Maporomoko ya Tope

Maporomoko ya udongo yasomba nyumba 9 Mbagala