Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Majani atoa 'salute' kwa Fid

Sunday , 21st May , 2017

Mtayarishaji Mkongwe wa bongo fleva, P Funk Majani amemmwagia sifa rappa Fid Q na kusema kwamba ndiye msanii bora wa siku zote kwa kuwa ni mtu mwenye misimamo na hajawahi kubadilika kufuata upepo wa muziki bali amesimamia misingi ya hip hop.

Majani amemwaga sifa hizo kwenye heshima ya Planet Bongo ya East Africa radio, Ijumaa hii na kusema kwamba hawezi kubadili kauli yake ya kwamba Fid Q ndio msanii bora wa hip hop na kusisitiza ubunifu na upekee alionao rapa huyo kutoka jiji la Mwanza ndio sababu kubwa inayomfanya aendelee kusimamia msimamo wake.

"Muziki ni beat lakini pia ni mashairi. Unapozungumzia msanii, Fid Q ni 'full package'  kwa sababu ni mbunifu, na mashairi anayo ya ktosha, haigii msanii yoyote kutoka nje lakini hajawahi kubadilika kutokana na upepo wa game. Kila mara unapomuona Fid utaona kuna vitu vinaongezeka kwake lakini vya kipekee kabisa. Kuna wasanii wanaofanya vizuri lakini ukisikiliza mashairi yao huelewi ila Fid licha ya kuwa na ladha nzuri ya sauti ya muziki lakini mashairi yake yatakufanya useme huyu ni msanii Full Package''- Majani alifunguka.

Kwa upande mwingine Majani amesema wasanii wengi wa hip hop wamekimbilia kuwaiga wasanii wa nje mpaka kushindwa kujitofautisha nao kitu ambacho kinawapotezea ubora sokoni.

HABARI ZAIDI

Baadhi ya Majirani wa Kijana Amani Abed ambaye Amejinyonga baada ya kutoka Hospitali.

Kijana ajinyonga baada ya kutoka hospitali

Antony Blinken, Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani

Marekani yatangaza kulifadhili jeshi la Ukraine

Kaimu Mkurugenzi wa ufuatiliaji na uzingatiaji sheria NEMC,

Wamiliki wa Hospitali nchini wapewa siku 90

Baadhi ya Wakazi wa Kata ya Madanga Mkoani Tanga

Wagoma kubeba mimba kwa kukosa huduma za afya

Mkuu wa mkoa wa Songwe Daniel Chongolo

Wanafunzi 194 washika mimba ndani ya mwezi mmoja

Mabaki ya gari aina ya Noah iliyopata ajali Morogoro

Ajali yachukua uhai wa watu saba Morogoro

Waziri wa Fedha Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba

Wawekezaji wawekeze sekta za uzalishaji - Nchemba

Muonekano wa Kiburugwa ambako Nyumba zaidi ya Tisa Zimebomolewa na Maporomoko ya Tope

Maporomoko ya udongo yasomba nyumba 9 Mbagala