Saturday , 7th Mar , 2015

Staa mkongwe wa muziki, MB Doggy ameweka wazi kuwa, kubadilika kwa mfumo wa utoaji ngoma na namna ya kuitangaza, vikienda sambamba na

MB Doggy

ukuaji wa mitandao ya kijamii, ni kati ya mambo ambayo yamekuwa ni changamoto kwa wasanii wa zamani kuendelea kufanya vizuri sasa.

MB Dogg ametolea mfano wa kipindi cha nyumba ambapo rekodi zake zilikuwa zikipelekwa redioni bila hata yeye binafsi kufika na kuweza kufanya vizuri bila hata msanii ama uongozi wake kutumia jitihada nyingine zozote zile.

Tags: