
msanii wa Bongo fleva Abdu Kiba
“Nilijaribu kuzungumza vile kwasababu niliona kuwa team ilikuwa imelala na nikataka nijue wamelalia wapi kwa hiyo mimi nilifanya makusudi tu ili kufahamu walipolalia, mbona wapo kimya”, alisema Abdul Kiba.
Pia Abdul Kiba akakanusha kuhusiana na taarifa za yeye kumkopi Harmonizer juu ya 'location' ya wimbo wake mpya wa 'Bayoyo' ambao mandhari ya video hiyo inaonekana kufanana na ya star huyo wa ngoma ya 'Bado' na kudai kuwa yeye alishuti video yake muda mrefu kabla video ya ngoma hiyo kuachiwa.