Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Ray kurudi na nguvu mpya kwenye 'bongo movie'

Monday , 27th Feb , 2017

Msanii filamu Bongo Vincent Kigosi 'Ray' amefunguka na kuwaomba mashabiki zake kuwa tayari kuipokea kazi yake mpya ya 'Gate Keeper' ambayo ina utofauti mkubwa katika kazi zake alizowahi kuzifanya hapo awali.

“Filamu yangu mpya itakuwa ya tofauti sana na itahusisha mastaa wengi kama Single Mtambalike ambaye amecheza kama Professa, Kajala Masanja aliyecheza kama mwananfunzi wa chuo kikuu, Baba Haji na wengine wengi na ninatarajia kuitoa tarehe 6 mwezi Machi”. Alisema Ray

Aidha Kigosi amesema kuwa upinzani kwenye filamu za ndani umepungua kwa kiasi kikubwa kutokana na wasanii wengi kuogopa kutoa filamu kutokana na uungwaji mkono mdogo wanaopata kutoka kwa mashabiki.

“Kipindi cha nyuma ilikuwa mtu akiongelea filamu Bongo basi anamuongelea Ray na marehemu Kanumba ila kwa sasa hakuna tena kwa kuwa watu wanaogopa kupeleka filamu kwa wasambazaji maana wanakosa kuungwa mkono na watu wa mitaani hivyo wanajikuta wanapata hasara badala ya faida kama kawaida". Alisisitiza Ray

Msanii huyo amewaomba wananchi kuitafuta kazi yake hiyo mpya pindi itakapotoka ili waweze kujionea vitu vipya alivyokuja navyo.

HABARI ZAIDI

Mkuu wa mkoa wa Songwe Daniel Chongolo

Wanafunzi 194 washika mimba ndani ya mwezi mmoja

Mabaki ya gari aina ya Noah iliyopata ajali Morogoro

Ajali yachukua uhai wa watu saba Morogoro

Waziri wa Fedha Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba

Wawekezaji wawekeze sekta za uzalishaji - Nchemba

Muonekano wa Kiburugwa ambako Nyumba zaidi ya Tisa Zimebomolewa na Maporomoko ya Tope

Maporomoko ya udongo yasomba nyumba 9 Mbagala

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko

Serikali yaipongeza Red Cross

Waziri wa TAMISEMI Mohamed Mchengerwa

Aonya wanaochangia watumishi kutopanda madaraja

Edgar Lungu, Rais wa Zamani Nchini Zambia Akitembea Kuzunguka Mji Mkuu wa Lusaka

Rais wa zamani Zambia Bw. Lungu hatarini kukamatwa