Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Vanessa atoa povu Jux kuhitimu

Thursday , 22nd Jun , 2017

Msanii Vanessa Mdee amempongeza mpenzi wake Juma Jux kwa kuhitimu elimu yake ya juu nchini China huku akiwapiga vijembe wale waliokuwa wanamsema msanii huyo kuwa hasomi bali anakwenda kukunua nguo, na kwamba picha alizoweka leo ni jibu tosha.

msanii Vanessa Mdee

Vanessa Mdee  ametoa pongezi hizo ikiwa ni siku moja baada ya Msanii huyo kuhitimu, na kutupia kijembe kwa wale waliokuwa wanapiga kelele siku za nyuma katika mitandao na vyombo vya habari vikimtaka Jux athibitishe kwa picha akiwa  darasani kama kweli anasoma huko, na kama jinsi wanafunzi wengine wafanyavyo wakiwa vyuoni.

"Congratulations Juma Jux finally done and you done did it well'. Hapo watu waliyokuwa wakiombaga picha za wewe darasani nadhani hii ni picha jibu la kutosha. Umeweza kufanya yote, muziki, biashara pamoja na shule, 'now that's exceptional' muda wa vibunda baba. 'Keep inspiring " aliandika kupitia https://www.viagrapascherfr.com/acheter-viagra-pfizer-tarif/ mtandao wake wa kijamii Vanessa.

Msanii Jux akiwa na wahitimu wenzake huko nchini China

Hata hivyo Jux mara nyingi amekuwa akitoa kauli ya kutothubutu kupiga picha kumuonesha akiwa darasani na kwamba yale ni maisha binafsi.

“Darasani sio sehemu ya kupiga picha umuoneshe mtu, kwanza darasani kwetu hairuhusiwi kupiga picha, haiwezekani kuwa mwalimu yupo anafundisha halafu napiga picha nioneshe watu, No. Mazingira yangu ya nje ya chuo nafanya kwavile ni maisha yangu ya nje ya chuo" Jux hukaririwa mara nyingi akitoa jibu hili kwenye vyombo vya habari.

Msanii Juma Mussa 'Jux' akiwa na tabasamu pana siku ya mahafali huko China.

Kwa Ujumla uongozi wa East Africa Radio na EATV unampongeza msanii huyo kwa hatua aliyofikia.

HABARI ZAIDI

Kaimu Mkurugenzi wa ufuatiliaji na uzingatiaji sheria NEMC,

Wamiliki wa Hospitali nchini wapewa siku 90

Baadhi ya Wakazi wa Kata ya Madanga Mkoani Tanga

Wagoma kubeba mimba kwa kukosa huduma za afya

Mkuu wa mkoa wa Songwe Daniel Chongolo

Wanafunzi 194 washika mimba ndani ya mwezi mmoja

Mabaki ya gari aina ya Noah iliyopata ajali Morogoro

Ajali yachukua uhai wa watu saba Morogoro

Waziri wa Fedha Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba

Wawekezaji wawekeze sekta za uzalishaji - Nchemba

Muonekano wa Kiburugwa ambako Nyumba zaidi ya Tisa Zimebomolewa na Maporomoko ya Tope

Maporomoko ya udongo yasomba nyumba 9 Mbagala

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko

Serikali yaipongeza Red Cross