Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

 Afukuzwa kazi kisa kummwagia maji ombaomba

Tuesday , 2nd Oct , 2018

Mfanyakazi wa mgahawa mmoja katika mji wa New York nchini Marekani amefukuzwa kazi kufuatia video iliyosambaa mtandaoni iliyomuonesha  akimmwagia maji raia mmoja asiye na makazi aliyekuja katika mgahawa huo.

Raia huyo aliyejulikana kwa jina la Jeremy Young alikuja katika mgahawa huo unaouza vyakula vya ngano na kahawa kwaajili ya kuchaji simu yake ili aweze kuzungumza na mama yake ndipo alipopitiwa na usingizi.

Baada ya muda kupita ndipo mfanyakazi huyo alipokuja na kummwagia maji akimtuhumu kwa kuwasumbua wateja wake wanaokuja kila siku kupata mahitaji  muda huo huku ajikijichukua video ambayo imesambaa mtandaoni.

Tukio hilo likawalazimisha wamiliki wa mgahawa kutoa taarifa rasmi ya kumfuta kazi na kuahidi kumuomba radhi muathirika wa tukio hilo.

" Mfanyakazi aliyejihusisha na tukio hili ameshafukuzwa kazi na tunafanya jitihada za kumpata muathirika wa tukio ili tuweze kumuomba msamaha ", imesema taarifa hiyo.

" Ninamshangaa mfanyakazi huyu alikuwa na sababu gani ya kufanya tukio hili, kijana wangu ni mkarimu, mpole, hamsumbui mtu na haongei na mtu hadi atakapoongeleshwa ", amesema Betty Jo Craven ambaye  shangazi wa Young.

Jitihada za kumchangia kijana huyo kupitia mtandao zimeweza kuzaa matunda kwa kifikisha kiasi cha dola 7,700 ambazo ni sawa na Shilingi 17.5 millioni za kitanzania.

HABARI ZAIDI

Baadhi ya Wakazi wa Kata ya Madanga Mkoani Tanga

Wagoma kubeba mimba kwa kukosa huduma za afya

Mkuu wa mkoa wa Songwe Daniel Chongolo

Wanafunzi 194 washika mimba ndani ya mwezi mmoja

Mabaki ya gari aina ya Noah iliyopata ajali Morogoro

Ajali yachukua uhai wa watu saba Morogoro

Waziri wa Fedha Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba

Wawekezaji wawekeze sekta za uzalishaji - Nchemba

Muonekano wa Kiburugwa ambako Nyumba zaidi ya Tisa Zimebomolewa na Maporomoko ya Tope

Maporomoko ya udongo yasomba nyumba 9 Mbagala

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko

Serikali yaipongeza Red Cross

Waziri wa TAMISEMI Mohamed Mchengerwa

Aonya wanaochangia watumishi kutopanda madaraja