Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Hatua 6 za kumuacha mpenzi wako vizuri

Friday , 17th May , 2019

Kumaliza mahusiano si kitu rahisi sana hata kama ni hakika umemchoka mwenzi wako na hata kama uhusiano wenu si mzuri kiasi kwamba uko tayari kuwa huru. 

Picha ya wapenzi.

Kwa hiyo basi, kuvunja mahusiano ya kimapenzi ni jambo ambalo haliwezi kuepukika. Hata hivyo kumaliza mahusiano kwa amani ni vizuri na inapendeza kuliko kuachana kwa ugomvi.

Mshauri wa mahusiano Gabriel Jackson akizungumza kwenye DADAZ ya EATV ametoa dondoo zifuatazo ambazo zitakusaidia kumaliza mahusiano na mpenzi wako kwa amani. 

1. Mwambie unahitaji kuzungumza naye. Hapa kuna watu wanashindwa kuzungumza matokeo yake wanatuma meseji tu naomba tuachane, kufanya hivyo katika mahusiano sio sahihi.

2. Mwambie mazuri yake. Unapokuwa umemuita na kuitikia wito basi anza kwa kumwambia mazuri yake, mpe sifa zake na mshukuru kwa yote aliyokufanyia kipindi cha mahusiano yenu.

3. Mwambie waziwazi sasa nataka tuachane. 

4. Mpe sababu za kuachana. Usimfiche chochote na usijidanganye wala kukubali kuwa mpeane muda, muda wanapeana wanandoa.

5. Mpe nafasi ya kuzungumza na yeye anachojisikia badala ya wewe kuzungumza.

6. Mpe moyo, mshauri na mueleze sifa zake na mwambie anaweza kupata mpenzi mwingine.

Bofya link hapo chini kumtazama akizungumza kwa undani mada hii

HABARI ZAIDI

Bashiri Mohamed (35) Mwenye Koti Jeusi akiwa anafikishwa Mahakamani Ilemela, Jijini Mwanza

Aliyezini na binti yake apandishwa kizimbani

Wilman Kapenjama Ndile, Mkuu wa Wilaya ya Songea

DC Kapenjama ataka uaminifu kwa wakulima Songea

Kassim Majaliwa, Waziri Mkuu wa Tanzania

Wanahabari wasisitizwa kuzingatia maadili ya kazi

Wilman Kapenjama Ndile, Mkuu wa Wilaya ya Songea

DC atangaza msako kuwaondoa walinzi wazee kazini

Rose Senyagwa, Mchambuzi wa Masuala ya Hali ya Hewa kutoka TMA

Kimbunga "IALY" kinazidi kusogea Pwani ya bahari