Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Kiporo cha Simba kimechacha

Saturday , 20th Apr , 2019

Klabu ya Soka ya Simba imepoteza mchezo wake wa Ligi Kuu Soka Tanzania bara baada ya kufungwa kwa mabao 2 - 1 dhidi ya Kagera Sugar kwenye mchezo uliopgiwa Uwanja wa Kaitaba.

Kagera ndiyo waliokuwa wa kwanza kupata mabao mawili ya haraka kunako kipindi cha kwanza kupitia mchezaji wake Kassim Khamis kunako dakika 17, kabla ya bao la pili kufungwa na Ramadhani Kapera dakika 41, na kupelekea mpaka mapumziko Simba wakiwa nyuma.

Kupitia Mshambuliaji wake Emmanuel Okwi Simba walipata bao la kufutia machozi dakika ya 67, na kupelekea mpaka mwisho wa mchezo huo Simba wakipoteza alama 3.

Kwa matokeo hayo sasa Simba wanaendelea kusalia na alama 60 wakiwa wamecheza michezo 23, huku ligi ikiongozwa na Mabingwa wa zamani Klabu ya Yanga kwa alama 74 lakini wenyewe wakiwa wamecheza michezo 32, huku Azam Fc wakishika namba mbili kwa alama 66.

HABARI ZAIDI

Baadhi ya Wakazi wa Kata ya Madanga Mkoani Tanga

Wagoma kubeba mimba kwa kukosa huduma za afya

Mkuu wa mkoa wa Songwe Daniel Chongolo

Wanafunzi 194 washika mimba ndani ya mwezi mmoja

Mabaki ya gari aina ya Noah iliyopata ajali Morogoro

Ajali yachukua uhai wa watu saba Morogoro

Waziri wa Fedha Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba

Wawekezaji wawekeze sekta za uzalishaji - Nchemba

Muonekano wa Kiburugwa ambako Nyumba zaidi ya Tisa Zimebomolewa na Maporomoko ya Tope

Maporomoko ya udongo yasomba nyumba 9 Mbagala

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko

Serikali yaipongeza Red Cross

Waziri wa TAMISEMI Mohamed Mchengerwa

Aonya wanaochangia watumishi kutopanda madaraja