
Muitaliano huyo ameweza kuwapa Mbweha hao taji la kwanza katika Historia ya klabu hiyo, tangu aliposaini mkataba wa miaka 3 mwaka uliopita.
Mabingwa hao mbali na kuanza mchakato wa mkataba mpya na kocha huyo, pia wapo katika kuhakikisha inawafunga mikataba mipya wachezaji muhimu wa klabu hiyo.