Monday , 5th Jun , 2017

Baada ya kupatiwa adhabu ya kutohudhuria vikao vya bunge vilivyobakia Mbunge wa Kawe Mh. Halima James Mdee ameibua mapya na kusema porojo za Dodoma hazimuumizi kichwa na badala yake anaangalia zaidi suala la kumsindikiza Muasisi wa chama.

Mh. Halima Mdee

Kipitia ukurasa wake wa twitter Mh. Mdee ameandika kwamba 

"Tunamsindikiza jemedari wa mageuzi Mhe. Philemon Ndesamburo kwenye nyumba ya milele!, porojo za Dodoma haziniumizi kichwa" aliandika Mdee kupitia ukurasa wake wa twitter.

Ujumbe wa Mh. Halima Mdee