Msanii Madee Ali
Madee amebainisha hayo kupitia ukurasa wake wa twitter baada ya majigambo ya wasanii wengi wanaodai kutaka kuutangaza kimataifa zaidi kazi za muziki zinazofanywa ndani ya Tanzania.
"Muziki wetu umepata kilema, hauna tuzo hauna albamu halafu kuna watu wanasema wanataka kuufikisha mbele......Kwa njia gani labda" aliandika Madee.