
mtayarishaji wa video nchini Abas Adam
Abbas ameiambia eNewz kuwa, mpango huu utaanza na nchini Kenya ambapo watafanya video ya msanii huyu sambamba na kufanya kazi na wasanii wakubwa kama vile P Unit na wengineo.
Abbas ameelezea pia kuwa watasafiri pia kuelekea jijini Kampala nchini Uganda katika kutafuta soko zaidi kuitangaza kazi mpya ambayo imebatizwa jina 'Kitenge' itakayofanyiwa kazi pia nchini Afrika Kusini.
