Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

"Upepo wa kisulisuli ni miujiza" - Rwakatare

Friday , 18th Oct , 2019

Askofu wa kanisa wa Mlima wa moto Bi Getrude Rwakatare, ametoa maelezo kuhusu video fupi ya maombi yake ya upepo wa kisulisuli ambayo inazunguka zaidi katika mitandao ya kijamii  na mitaani.

Askofu Bi Getrude Rwakatare akiwa nyumbani kwake Kawe.

Kupitia mahojiano aliyofanya na EATV & EA Radio Digital, Bi Getrude Rwakatare amesema hakuamini kama maombi yake ya upepo wa kisulisuli yataenea zaidi kwa watu na kwenye mitandao ya kijamii.

"Kwa kweli namshukuru Mungu kupitia ile video fupi inavyosambaa, kufika mbali na kupokelewa vizuri na katika jamii na kugusa mioyo za watu, Upepo wa kisulisuli ni upepo wa kimbunga ambao unakuja ghafla na inabeba chochote ambacho kipo njiani na huvutwa kutoka Magharibi na Mashariki hadi Kaskazini na Kusini, kwahiyo upepo huu ni nguvu na miujiza ya Mungu" amesema Bi Getrude Rwakatare.

Pia amesema nia ya kufanya hivyo ni kuwasaidia Wanawake ambao hawajaingia kwenye ndoa, wapate Wanaume wa kuwaoa maana dunia hii Wanawake wamekuwa wengi ila hawapati bahati ya kuolewa na kubaki kuhangaika kwa waganga na kutumia dawa. ameongeza.

Aidha amesema maombi haya ya upepo wa kisulisuli yataendelea Jumapili hii kama kuna mtu atakuwa na tatizo lake anaweza akaenda kwenye Ibada kanisani Mlima wa moto na itaenda hadi mikoani sio kwa wakazi wa Dar Es Salaam tu.

HABARI ZAIDI

Katibu wa Chadema Kanda ya Kaskazini, Amani Golugwa

Maandamano yetu sio kelele za wahuni - Golugwa

Nyumba ambayo mwili wa mwanaume ulikaa hadi kuharibika

Mke aishi na maiti ya mumewe akiamini atafufuka

Ofisa wa idara ya manunuzi na mikataba akimpatia maelezo mmoja wa wananchi wawaliojitokeza kutembelea banda la GGML katika maonesho ya OSHA na kujifunza namna kuzingatia usalama katika shughuli zao za kila siku.

GGML yaja na teknolojia za kisasa za uokoaji

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan

Rais Samia asema CDF mwanamke atapatikana 2030

Mratibu wa idara ya dharura (ERT) kutoka GGML, Mohamed Mwaimu akimuonesha mama lishe namna ya kuzima moto wakati inatopokea mtungi wa gesi unapopata hitilafu na kulipuka. Mafunzo hayo yametolewana GGML kwa kushirikiana na OSHA kwa akina mama lishe 50 wa mkoani Arusha.

Mama lishe wafundishwa kulikabili janga la moto