Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Kutana na ndugu 2 wanaotumia sabuni kama chakula

Saturday , 9th Nov , 2019

Ndugu wawili waliojulikana kwa majina ya Sharon Jepchirchir (24) na Lydia Chepkemboi (17), kutokea kijiji cha Kibochi nchini Kenya, wameshangaza watu kwa tabia ya kula sabuni za kipande na ya unga kama chakula.

Ndugu wawili wanaoluka sabuni

Sharon Jepchirchir ameiambia Televisheni ya "KTN News" kuwa ameanza kula sabuni tangu akiwa na umri wa miaka 5 hadi sasa ametimiza miaka 19 ya maisha yake, ambapo amekuwa akila sabuni kama chakula, pia aligundua hata mdogo wake wake ameanza kula sabuni miaka 6 iliyopita.

"Mdogo wangu wa kike alikuwa anaishi kwa shangazi yangu, ilikuwa nadra sana kuonana lakini kuna siku niliona ana vipande vya sabauni kwenye pochi yake, nilimuuliza unazifanyia nini hizo sabuni na akanijibu huwa anakula. Hii ilitufanya tuwe karibu zaidi na huwa tunaazimana", amesema Sharon Jepchirchir.

Aidha Sharon Jepchirchir ameendelea kusema, "nikila sabuni marafiki zangu huskia harufu yake na kushangaa na  mimi huwa naachana nao. Wakati mwingine hulazimika kula kitafunio ili kupigana na harufu ya sabuni lakini inakosa kuisha", ameongeza.

Pia wawili hao wamesema wamekuwa wakitafuta suluhisho la kuacha kula sabuni ikiwemo maombi lakini hawajafanikiwa hadi muda mwingine wanafikiri kama wamerogwa.

HABARI ZAIDI

Coaster iliyoparamia nyumba Bukoba

Tisa wanusurika kifo Kagera

Picha ya Fat Joe na Chris Brown

"Chris Brown anafaa kuwa 2Pac wa kisasa" - Fat Joe

Katibu wa Chadema Kanda ya Kaskazini, Amani Golugwa

Maandamano yetu sio kelele za wahuni - Golugwa

Nyumba ambayo mwili wa mwanaume ulikaa hadi kuharibika

Mke aishi na maiti ya mumewe akiamini atafufuka

Ofisa wa idara ya manunuzi na mikataba akimpatia maelezo mmoja wa wananchi wawaliojitokeza kutembelea banda la GGML katika maonesho ya OSHA na kujifunza namna kuzingatia usalama katika shughuli zao za kila siku.

GGML yaja na teknolojia za kisasa za uokoaji