Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Tahadhari ya Microsoft kwa watumiaji wa Windows 7

Monday , 13th Jan , 2020

Kampuni ya kiteknolojia ya Microsoft imetoa tahahadhari kwa watumiaji wa mfumo endeshi wa kompyuta wa Windows 7 kuwa ifikapo Januari 14 haitatoa msaada kwenye vifaa vyao.

Mfumo endeshi wa Windows 7

Hatua hiyo imekuja ikiwa ni katika mchakato wake wa kuachana na teknolojia hiyo ambayo inasema imepitwa na wakati.

Mfumo endeshi wa Windows 7 ulizinduliwa na kampuni hiyo kwa mara ya kwanza Oktoba 22, 2009, ambapo imesema nia yake ni kuachana nayo na kujikita zaidi katika teknolojia mpya za sasa na zile ambazo watazivumbua.

Baada ya Januari 14, 2020, msaada wa ku'update software, ku'update mfumo wenyewe havitopatikana kwenye kompyuta zinazotumia mfumo huo, ambapo wanashauriwa kuhamia kwenye mfumo endeshi wa Windows 10 ili kuepukana na usumbufu wowote utakaotokea. 

HABARI ZAIDI

Baadhi ya Majirani wa Kijana Amani Abed ambaye Amejinyonga baada ya kutoka Hospitali.

Kijana ajinyonga baada ya kutoka hospitali

Antony Blinken, Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani

Marekani yatangaza kulifadhili jeshi la Ukraine

Kaimu Mkurugenzi wa ufuatiliaji na uzingatiaji sheria NEMC,

Wamiliki wa Hospitali nchini wapewa siku 90

Baadhi ya Wakazi wa Kata ya Madanga Mkoani Tanga

Wagoma kubeba mimba kwa kukosa huduma za afya

Mkuu wa mkoa wa Songwe Daniel Chongolo

Wanafunzi 194 washika mimba ndani ya mwezi mmoja

Mabaki ya gari aina ya Noah iliyopata ajali Morogoro

Ajali yachukua uhai wa watu saba Morogoro

Waziri wa Fedha Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba

Wawekezaji wawekeze sekta za uzalishaji - Nchemba

Muonekano wa Kiburugwa ambako Nyumba zaidi ya Tisa Zimebomolewa na Maporomoko ya Tope

Maporomoko ya udongo yasomba nyumba 9 Mbagala