Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

'Baba akichepuka ni maarufu kuliko mama"-Nikki

Monday , 20th Jan , 2020

MwanaHipHop kutokea kampuni ya Weusi Nikki wa Pili, amesema kwenye mahusiano ya ndoa, Baba akichepuka ndiyo inakuwa maarufu zaidi kuliko Mama anapochepuka.

Pichani ni msanii Nikki wa Pili

Akizungumza na  EATV & EA Radio Digital, Nikki wa Pili amesema mara nyingi mwanaume anapokuwa kwenye mahusiano au ndoa ambayo hataki kutoka ni ngumu kumwambia mtu matatizo yake.

"Mwanaume kama yupo kwenye mahusiano au ndoa ambayo na hataki kutoka ni ngumu sana kumwambia mtu kosa kama hilo, hawezi kusema kama amechepuka nje ya ndoa au mke wake kamsaliti, kwa sababu kijamii heshima ya mwanaume  katika tendo kama hilo likivunjika ni ngumu sana kuirudisha, lakini kwa mwanamke ni tofauti" ameeleza Nikki wa Pili.

Nikki wa Pili ameendelea kusema "Ikigundulika kama mama fulani mwanaume wake amemsaliti, jamii inaweza isione kitu kibaya sana, kwa mwanaume kama mke wake ndiyo anafanya vitendo hivyo inakuwa ni nzito, na mara chache sana kumkuta baba anawaeleza watoto makosa ya mama, lakini utakuta mama hueleza makosa ya baba" ameongeza.

HABARI ZAIDI

Mbunge wa Kilosa Profesa Palamagamba Kabudi

"Ndege ijayo ipewe jina la Mwl Nyerere" - Profesa

Baadhi ya Wanachi wa Kata ya Msowero, wakiwa Katika Mkutano wa Hadhara na Mkuu wa Wilaya

Mwenyekiti atiwa mbaroni kwa kuuza mlima, Msowero

Sehemu iliyokumbwa na Mafuriko Kusini mwa Brazil

Wanaokufa kutokana na mafuriko waongezeka Brazil

Baadhi ya Wabunge Wakichangia Hotuba ya Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Uchukuzi

Serikali yashauriwa kuwa bunifu sekta ya usafiri

Baadhi ya Wananchi Wakishudia Ajali Iliyomgonga Mwendesha Bodaboda

Watatu wanusurika kifo, scania ikimgonga bodaboda

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu), Deogratius Ndejembi (kulia) pamoja na Meneja Mwandamizi wa Afya, Usalama na Mazingira kutoka GGML, Dk Kiva Mvungi (kushoto) wakimpatia vifaa kinga mmoja wa washiriki wa mafunzo kwa madereva bodaboda wa jiji la Arusha.

Bodaboda 200 Jijini Arusha wanolewa na kufundwa