Mbunge wa Chemba Juma Nkamia na Mbwana Samatta
katika Klabu ya Aston Villa.
Nkamia ametoa kauli hiyo wakati akizungumza na EATV na EA radio Digital iliyotaka kufahamu kuhusiana na namna ambavyo angetamani Tanzania imkumbuke vipi Mbwana Samatta
Nkamia amesema kuwa "mimi kwangu sio tatizo kujengwa kwa sanamu la Mbwana Samatta hata pale nje ya Uwanja wa Taifa, tena naamini hatua hiyo itakuwa kubwa sana kwake, na heshima kubwa sana kwa Taifa na naamini itakuwa chachu kwa vijana wanaochipukia"
Tazama mahojiano kamili hapo chini.