Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Dully Sykes alivyokutanisha utata wa miaka 12

Monday , 25th May , 2020

Wimbo wa dhahabu ya Dully Sykes ulifanya vizuri sana miaka 12 iliyopita, ambapo aliwashirikisha Mr Blue na Joslin bila ya wao kujijua kwa sababu kipindi hicho wawili hao  walikuwa na bifu na kushindanishwa.

Kushoto pichani Mr Blue, kati Dully Sykes, kulia ni Joslin

Sasa Dully Sykes ametueleza historia ya wimbo huo kwa kusema alikuwa hana mpango wa kumshirikisha Joslin, pia aliingia studio na wanawake wawili kisha kuipa mgongo mike wakati anarekodi.

"Ngoma ilikuwa ni kumshirikisha Mr Blue peke yake lakini siku ambayo mimi narekodi Joslin alikuwepo studio , kipindi hicho hakukuwa na mahusiano mazuri kati Mr Blue na Joslin nikaona hii idea  inaweza ikaleta nguvu kwenye ngoma yangu, hata wakati wakuingiza verse kila mtu aliingiza kivyake bila ya wao kuwaambia na kwenye ushindani walikuwa wanashindanishwa wao tu".

Stori zaidi tazama hapa kwenye video hapa chini 

 

HABARI ZAIDI

Katibu wa Chadema Kanda ya Kaskazini, Amani Golugwa

Maandamano yetu sio kelele za wahuni - Golugwa

Nyumba ambayo mwili wa mwanaume ulikaa hadi kuharibika

Mke aishi na maiti ya mumewe akiamini atafufuka

Ofisa wa idara ya manunuzi na mikataba akimpatia maelezo mmoja wa wananchi wawaliojitokeza kutembelea banda la GGML katika maonesho ya OSHA na kujifunza namna kuzingatia usalama katika shughuli zao za kila siku.

GGML yaja na teknolojia za kisasa za uokoaji

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan

Rais Samia asema CDF mwanamke atapatikana 2030

Mratibu wa idara ya dharura (ERT) kutoka GGML, Mohamed Mwaimu akimuonesha mama lishe namna ya kuzima moto wakati inatopokea mtungi wa gesi unapopata hitilafu na kulipuka. Mafunzo hayo yametolewana GGML kwa kushirikiana na OSHA kwa akina mama lishe 50 wa mkoani Arusha.

Mama lishe wafundishwa kulikabili janga la moto