Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Magufuli aelezea maisha ya Katibu Mkuu wa CCM

Wednesday , 16th Sep , 2020

Mgombea Urais kupitia CCM Dkt John Magufuli amesema kuwa alizunguka nchi nzima kutafuta mtu ambaye anafaa kuwa Katibu Mkuu wa CCM na ndipo alipokutana na Dkt Bashiru Ally kwa kuwa ni miongoni mwa wazalendo wachavche wanaofuta miiko ya Baba wa Taifa.

Kushoto ni mgombea Urais Dkt John Magufuli na kulia ni Katibu Mkuu wa CCM Dkt Bashiru Ally.

Dkt Magufuli ametoa kauli hiyo hii leo Septemba 16, 2020, katika mkutano wake wa kampeni alipokuwa akiomba kura kwa wananchi Bukoba mkoani Kagera, na kuongeza kuwa lengo la yeye kuzunguka nchi nzima ilikuwa ni kuhakikisha anapata Katibu Mkuu ambaye ni mzalendo wa kweli.

"Dkt Bashiru huyu ni mtu ambaye ametoka katika maisha ya chini, amefanya biashara ya kuuza Ndizi pale Kemondo na nafikiri alipata na mke hapo hapo, lakini ni mzalendo kati ya wazalendo wachache wenye kufuata miiko ya Baba wa Taifa, kwenye chama hiki niliona nahitaji mtu namna hiyo, na ndiyo maana nikamteua awe Katibu Mkuu wa CCM", amesema Dkt Magufuli.

Awali akizungumzia suala la moto ulioteketeza bweni la shule ya Byamungu Islamic akatoa maagizo haya, "Kutokana na msiba uliotupata nazihimiza mamlaka zote husika TAMISEMI na Wizara ya Elimu kuhakikisha shule zote zinazingatia masuala ya usalama kabla na baada ya kuanzishwa ili madhara ya moto katika shule zetu yasijirudie tena".

HABARI ZAIDI

Mkuu wa mkoa wa Songwe Daniel Chongolo

Wanafunzi 194 washika mimba ndani ya mwezi mmoja

Mabaki ya gari aina ya Noah iliyopata ajali Morogoro

Ajali yachukua uhai wa watu saba Morogoro

Waziri wa Fedha Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba

Wawekezaji wawekeze sekta za uzalishaji - Nchemba

Muonekano wa Kiburugwa ambako Nyumba zaidi ya Tisa Zimebomolewa na Maporomoko ya Tope

Maporomoko ya udongo yasomba nyumba 9 Mbagala

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko

Serikali yaipongeza Red Cross

Waziri wa TAMISEMI Mohamed Mchengerwa

Aonya wanaochangia watumishi kutopanda madaraja

Edgar Lungu, Rais wa Zamani Nchini Zambia Akitembea Kuzunguka Mji Mkuu wa Lusaka

Rais wa zamani Zambia Bw. Lungu hatarini kukamatwa