Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

Vodacom na Infinix wazindua simu aina ya NOTE 8

Thursday , 19th Nov , 2020

Kampuni ya Mawasiliano ya Vodacom Tanzania kwa kushirikiana na kampuni ya simu ya Infinix leo imetambulisha rasmi simu mpya aina ya Infinix Note 8 ambayo inaambatana na ofa ya Gb 96 za intaneti kutoka Vodacom.

Mkuu wa Kitengo cha Masoko Vodacom Nandi Mwiyombella

Akizungumza na waandishi wa habari, Mkuu wa Kitengo cha Masoko Vodacom Nandi Mwiyombella amesema nia ya kampuni hiyo ni kuipeleka Tanzania katika ulimwengu wa kidijitali zaidi.

"Umuhimu wa mtandao wenye kasi kwa kila mtumiaji wa smartphone unajulikana na ili watanzania tusiwe nyuma na ukuaji wa teknolojia tunahitaji mtandao wenye kasi ili kujifunza Mambo mapya"amesema Nandi  Mwiyombella

''Kwa kuzingatia hilo Vodacom Tanzania inakusogeza karibu na ulimwengu wa kidijitali kupitia ofa ya GB 96 katika kila simu ya Infinix NOTE 8 kwa muda wa mwaka mzima"ameongeza Nandy Mwiyombella

Naye Afisa mahusiano wa Infinix Aisha Karupa amesema simu hiyo mpya inauwezo kuhimili application zenye uwezo mkubwa pasipo simu kupata Moto au kuzima ghafla wakati wa matumizi.

HABARI ZAIDI

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Jenista Mhagama

Wazazi simamieni maadili kwa watoto 

Sehemu ya Ardhi iliyoathirika na Mabadiliko ya Tabia Nchi

Hizi hapa sababu za hali ya hewa isiyotarajiwa

Picha za Satelaiti Zikionyesha Mwenendo wa Kimbunga Hidaya

Kimbunga Hidaya chaendelea kutawala eneo la Pwani

Madaktari Bingwa wa Mama Samia Wakiendelea na Upasuaji

Uvimbe wa kilo 5 waondolewa tumboni kwa mwanamke

Rocket Mwashinga, Chifu Mkuu wa Kabila la Wasafwa

Chifu Mwashinga akemea washirikina kutesa watu

Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa akizungumza na Wanahabari na Wadau wengine kwenye Maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani yaliyofanyika kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete, jijini Dodoma leo Mei 03, 2024.

Watendaji serikalini ondoeni ukiritimba - Majaliwa