Kulia ni Harmonize na mkewe kushoto ni Harmonize na mtoto wake wa kike Zulekha Kondegirl
Kupitia ukurasa wake Instagram Sarah ameandika kuwa "Mungu wangu watu kweli wamevurugwa, mara mbili wamepima DNA ya mtoto bado majibu ni Negative, ila kwa kuwa umeshindwa kupata mtoto umeamua kujipa mtoto asie wako"
"Hongera kwa adoption, utakua na roho nzuri hukujua jinsi ya kutunza mke sababu ya maovu yako natumai utajua kutunza mtoto, ukome kuongopea mashabiki dah, nimepost hii kwa lugha ya kiswahili kila mtu ataelewa".
Zaidi tazama hapa chini kwenye Video.