
Kushoto ni Nedy Music, picha ndogo ni Ice Boy kulia ni Lulu Diva
Akitoa tathmini yake ya mwaka 2020 kwa wasaniii waliopendeza kwenye mavazi, fashion na lifestyle kwa ujumla Deogratius Kithama amesema wasanii wengi wamejitahidi kupendeza pia majina mapya yameongezeka kwenye upande wa mitindo.
"Wasanii wengi wamejitahdi sana kwenye fashion tumeona majina mapya na vipaji vipya kwenye sekta za mitindo mbali na tuliowazoea, mara nyingi nimemtaja Jux kama ni mmoja wanaopendeza sana, lakini mwaka huu tumeona msanii kama Nedy Music, Ice Boy wamependeza sana na Lulu Diva kwa upande wa wanawake" amesema Deogratius Kithama
Zaidi mtazame hapa chini kwenye video.