Error message

  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 664 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 670 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 667 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 675 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Notice: Trying to access array offset on value of type null in amp_node_view() (line 679 of /home/eatv/public_html/sites/all/modules/amp/amp.module).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).
  • Warning: "continue" targeting switch is equivalent to "break". Did you mean to use "continue 2"? in include_once() (line 3493 of /home/eatv/public_html/includes/bootstrap.inc).

JKT yasitisha mafunzo

Tuesday , 19th Jan , 2021

Jeshi la kujenga Taifa (JKT) limesitisha mafunzo kwa kundi la kujitolea ya kwa mwaka wa mafunzo wa 2020/2021 yaliyotarajia kuanza hivi karibuni katika kambi mbalimbali hapa nchini kote.

Kaimu Mkuu wa Utawala Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) Kanali Hassan Mabena.

Hayo yamesemwa na Kaimu Mkuu wa Utawala Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) Kanali Hassan Mabena wakati akizungumza na vyombo vya habari katika mkutano uliofanyika Makao Makuu ya Jeshi hilo wilayani Chamwino jijini Dodoma leo, amesema kuwa maafunzo hayo yaliyotarajiwa kuanza hivi karibuni yamesitishwa kwa muda mpaka hapo yatakapotangazwa.

"Kutokana na kusitishwa kwa mafunzo hayo Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) linawataka vijana wote ambao walichaguliwa na kuripoti Makambini kwa ajili ya kuhudhuria mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa kwa ajili ya kujitolea warejee majumbani kwao na wale ambao walikuwa bado hawajaripoti wasiende kuripoti kambi waliyopangiwa mpaka hapo itakapotangazwa tena”, amesema Kanali Mabena.

Jeshi la Kujenga Taifa limekuwa likiwajengea vijana uwezo wa kujiajiri kupitia stadi za maisha wanazopata katika mafunzo yanayotolewa kwa mujibu wa sheria na yale ya vijana kujitolea, hivyo kuwawezesha kuwa wazalendo wanaoshiriki kikamilifu katika ujenzi waTaifa.

HABARI ZAIDI

Baadhi ya Majirani wa Kijana Amani Abed ambaye Amejinyonga baada ya kutoka Hospitali.

Kijana ajinyonga baada ya kutoka hospitali

Antony Blinken, Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani

Marekani yatangaza kulifadhili jeshi la Ukraine

Kaimu Mkurugenzi wa ufuatiliaji na uzingatiaji sheria NEMC,

Wamiliki wa Hospitali nchini wapewa siku 90

Baadhi ya Wakazi wa Kata ya Madanga Mkoani Tanga

Wagoma kubeba mimba kwa kukosa huduma za afya

Mkuu wa mkoa wa Songwe Daniel Chongolo

Wanafunzi 194 washika mimba ndani ya mwezi mmoja

Mabaki ya gari aina ya Noah iliyopata ajali Morogoro

Ajali yachukua uhai wa watu saba Morogoro

Waziri wa Fedha Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba

Wawekezaji wawekeze sekta za uzalishaji - Nchemba

Muonekano wa Kiburugwa ambako Nyumba zaidi ya Tisa Zimebomolewa na Maporomoko ya Tope

Maporomoko ya udongo yasomba nyumba 9 Mbagala