Marehemu Dkt. John Magufuli
Aidha Makamu wa Rais Mh. Samia Suluhu Hassan amesema nchi itakuwa katika maambolezo kwa muda wa siku 14.
Tazama Video hapo chini Makamu wa Rais akitangaza.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Magufuli amefariki dunia leo Machi 17, 2021, majira ya saa 12:00 Jioni. Makamu wa Rais Mh. Samia Suluhu Hassan ametangaza kupitia Televisheni ya Taifa TBC.
Marehemu Dkt. John Magufuli
Aidha Makamu wa Rais Mh. Samia Suluhu Hassan amesema nchi itakuwa katika maambolezo kwa muda wa siku 14.
Tazama Video hapo chini Makamu wa Rais akitangaza.