
Mwanaume aliyeleta taharuki Jijini Dar es Salaam leo
Taharuki hiyo imezuka mchana wa leo Agosti 25, 2021, ambapo Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania IGP Simon Sirro, amesema kwamba katika tukio hilo mtu huyo aliwauwa Askari wawili na kisha na baadaye yeye aliuawa katika majibizano ya risasi.