Waziri wa Fedha na Mipango Mwigulu Nchemba
Kwa upande wa tozo za miamala ya mtandao mmoja kwenda mwingine zimepunguzwa kwa asimilia 10. Viwango vilivyopunguzwa vitatangazwa rasmi kesho Septemba 1, 2021.
Soma taarifa kamili hapo chini
Wizara ya Fedha na Mipango kupitia kwa Waziri wake Dkt. Mwigulu Nchemba, imepunguza tozo kwenye miamala ya simu kwa asilimia 30.