Picha ya msanii Chemical
Chemical ameongeza kusema anafurahi kuwa single ila mume wake ajaye 'future hubby' ata-enjoy sana kwa sababu anajua kupenda, muelewa na hatampangia vigezo vya mahari.
Zaidi mtazame hapo chini kwenye video.
Rapa Chemical Mwana wa Lubao amesema yeye bado ni mwanamke ambaye hajakutana na mwanaume yeyote 'bikra' pia jimbo lake lipo wazi yaani yupo 'single'.