
Rais Samia (juu ya gari) akiongea na wanachi wa Mirerani
Rais Samia ameyasema hayo leo Agosti 5, 2021 wakati akiongea na wananchi wa Mirerani Simanjiro waliofurika nje ya ukuta wa Mirerani ambapo Rais atakuwa anarekodi filamu maalum itakayoonesha vifutio vya Tanzania.
''Huko nyuma Tanzanite yetu ilikuwa inazagaa tu, ukienda Kenya kuna Tanzania, Sijui Singapore Tanzania, India, inauzwa tu ovyo ovyo. Sasa tunataka tuwaambie ulimwengu kuwa Tanzanite kwao ni hapa'' - Rais Samia Suluhu.
Zaidi tazama video hapo chini