Thursday , 16th Sep , 2021

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amemteua Dkt. Yamungu Kayandabila kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Taifa la Maendeleo (NDC).

Dkt. Yamungu Kayandabila

Dkt. Yamungu ni Naibu Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT).

Uteuzi huu umeanza Septemba 11, 2021.

Zaidi soma taarifa ya Ikulu