Friday , 24th Sep , 2021

Ununuzi wa bidhaa kupitia mtandao umekuwa ukipata umaarufu zaidi ulimwenguni, ambapo  unaweza ukanunua chochote kutoka popote kwa kutumia simu au kompyuta yako tu na bidhaa ikakufikia.

Biashara kupitia mtandao

Kupitia kipindi cha Ujasiriamali cha East Africa Tv, Beatrice Masumbuko ambaye ni mtaalamu wa masuala ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (ICT) ameeleza kuwa kuna faida kama biashara kuwafikia watu wengi kwa muda mfupi, huduma kupatikana saa 24, imemrahisishia mteja kuchagua bidhaa bila usumbufu kupitia Application au tovuti.

Angalia interview yote hapa