Picha ya Rapper Kanye West akiwa kwenye mwonekano mpya
Ye ame-share picha ya mtindo huo mpya ambao umezua gumzo huko mitandaoni hadi watu kuhoji nani kinyozi wake ambaye amebuni mtindo huo huku akiwa amevua maski kichwani baada ya kuvalia kwa muda mrefu.