
(Stephen Curry akirusha mpira kujaribu kufunga alama nyingi zaidi)
3-Pointers hizo zimefanya Curry kufikisha 3-Pointers 2,958 na kuendelea kuwa mchezaji wapili kwenye historia ya NBA kupiga 3-pointers nyingi nyuma ya Ray Allen mwenye 2,973 katika michezo yake 1, 3000
Wakati NBA imefikisha michezo yamzunguko wa 24, kutokana na kiwango bora cha muendelezo hadi kuwamchezaji bora wa wiki mara mbili basi huenda Curry akafanikiwa kuvunja rekodi hiyo tena akiwa amecheza michezo michache zaidi 785.