Rais wa Brazil, Jair Bolsonaro
Bolsonaro ameikosoa Ukraine kwa kusema walimwamini mchekeshaji katika kuamua hatima ya nchi, akimaanisha kumuamini Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky ambaye zamani alikuwa mchekeshaji.
Brazil inategemea mbolea kutoka Urusi na kumuwekea vikwazo italeta madhara makubwa kwenye kilimo nchini Brazil.


