Mji wa Kharkiv, Ukraine baada ya kushambuliwa na jeshi la Urusi
Jeshi la Urusi limeanza kushambulia makazi ya raia na hapo awali walikana hawatalenga makazi ya watu.
Watu zaidi ya 11 wanaidaiwa kupoteza maisha katika katika mji wa Kharkiv, Ukraine baada ya wanajeshi wa Urusi kulipua majengo na magari.