Picha ya msanii Anjella
Anjella anasema kwa sasa ame-focus kwenye masuala ya kazi na hataki kufa maskini hivyo lazima apambane kwanza mambo mengine ni baadaye.
Source : Eatv & Ea Radio Digital
First Lady wa Konde Gang Music Worldwide Anjella Tz anasema yeye bado ni binti mdogo ndio maana yupo 'Single' kwa sababu hawezi ku-control mapenzi na kazi kwa hiyo hawezi kujihusisha na mambo hayo
Picha ya msanii Anjella
Anjella anasema kwa sasa ame-focus kwenye masuala ya kazi na hataki kufa maskini hivyo lazima apambane kwanza mambo mengine ni baadaye.
Source : Eatv & Ea Radio Digital