Wednesday , 1st Jun , 2022

Mrembo Poshy Queen anasema chanzo cha kuvunjika kwa ndoa yake na aliyekuwa mumewe na baba moto wake John kutoka Nigeria zimesabishwa na changamoto za mahusiano.

Picha ya Poshy Queen na aliyekuwa Mume wake

"Kwenye mahusiano hamuwezi kwenda sawa kila siku, sisi hatuku-date muda mrefu kwa sababu tulioana mapema, labda hatukujuana hatukukaa pamoja na vitu vingine vya kawaida" amesema Poshy Queen

Zaidi tazama hapa kwenye video.